Back to home
Kamera ya CCTV inaonyesha wizi wa vifaa vya elektroniki ukifanywa dukani Nairobi
video
C
Citizen TV (Youtube)April 13, 2026
3h ago
Maafisa wa upelelezi katika Kituo cha Polisi cha Central hapa Nairobi wameanzisha msako dhidi ya majambazi waliovamia duka la vifaa vya elektroniki na kuiba mali ya thamani ya zaidi ya shilingi milioni 16. Picha za CCTV, zinaonyesha washukiwa hao wakizungumza na walinzi, muda mfu
Advertisement
Advertisement





