Back to home
Watoto watatu wafariki katika ajali ya moto Bomet
video
C
Citizen TV (Youtube)July 2, 2026
2h ago
Watoto watatu wamefariki dunia baada ya moto kuteketeza jiko walimokuwa wamelala katika kijiji cha Kimatisio. Polisi wamesema uchunguzi umeanzishwa kubaini chanzo cha moto huo na mazingira yaliyosababisha vifo hivyo
Advertisement
Advertisement





