Back to home
Wakazi wa Nandi waonya dhidi ya kuingiliwa kwa uchaguzi
video
C
Citizen TV (Youtube)July 15, 2026
2h ago
Wakazi wa Kaunti ya Nandi wametoa onyo kali kwa baadhi ya watumishi wa umma na viongozi wa ngazi za juu wanaodaiwa kujaribu kuwaamulia wananchi viongozi watakaowaongoza badala ya kuwaachia wapiga kura haki ya kuchagua viongozi wanaowapendelea kupitia uchaguzi huru na wa haki.
Advertisement
Advertisement




