Back to home
Wakazi wa Igembe Kaskazini walalamikia kutotekelezwa kwa miradi ya uwajibikaji
video
C
Citizen TV (Youtube)August 31, 2026
2h ago
Wakazi wa Igembe Kaskazini, Kaunti ya Meru Wamelalamikia hatua ya mkandarasi wa ujenzi wa barabara ya Isiolo -Kutulo-Mandera ya kutotekeleza miradi ya uwajibikaji ya kijamii kama walivyoahidiwa.
Advertisement
Advertisement





