Back to home

Waathiriwa wa kufurushwa Mau wadai fidia kulingana na thamani ya mali

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 4, 2026
1h ago
Wanaharakati na watetezi wa haki wanataka orodha ya waathiriwa wa kufurushwa kutoka Mau ikaguliwe upya kabla ya kutolewa kwa fidia. Wanasema fidia inapaswa kuzingatia thamani halisi ya mali zilizopotezwa na kuhakikisha waathiriwa wote wanaostahili wananufaika.
Advertisement