Polisi waliompiga mchuuzi risasi hapo jana wasimamishwa kazi
About this video
Maafisa wawili wa polisi Klinzy Barasa Masinde na Duncan Kiprono wamesimamishwa kazi kwa kuhusishwa na kisa cha kudhulumiwa na kupigwa risasi kwa mchuuzi wa maski Boniface Mwangi Kariuki hapo jana. Barasa na kiprono walikamatwa na wanatarajiwa kufikishwa mahakamani hapo kesho...