Back to home

Vijana Makueni waandaa mdahalo wao

video
July 9, 2025
3w ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Vijana kaunti ya Makueni hii leo wanafanya mkutano wa kujadili masuala mbalimbali yanayowakabili haswa masuala ya uongozi na pia kujadili matukio ya maandamano ya siku ya sabasaba. Mkutano huo unaandaliwa chini ya mwavuli wa TUBONGE GOVERNANCE. Michael Mutinda anaungana nasi moja..