Back to homeWatch Original
Vijana,wanaharakati na walemavu wakutana Makueni
video
July 10, 2025
3w ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Makundi ya vijana,wanaharakati na waakilishi wa watu wanaoishi na ulemavu wamefanya kikao mjini Wote kaunti ya Makueni kutathmini maswala mbalimbali yanayowakumba huku wakisema serikali bado ina nafasi ya kutafuta suluhu ya mtafaruku uliopo wakisisitiza kuwa vijana wanashinikiza ..