Back to homeWatch Original
Wanafunzi wa zamani wa Alliance Girls walalamika
video
July 10, 2025
1mo ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Wanafunzi wa zamani wa Alliance Girls High School wamekongamana katika shule hiyo ya upili kushinikiza haki kufuatia taarifa kuwa mwalimu mmoja wa kiume ameendeleza mahusiano ya kimapenzi na wanafunzi..