Familia na jamaa wafanya kumbukumbu ya Erickson Mutisya
About this video
Mwaka mmoja baada ya Erickson Mutisya kuuawa kwa kupigwa risasi na polisi wakati wa maandamano ya kupinga Mswada wa Fedha wa mwaka 2024, familia yake inasema haijapata haki wala aina yoyote ya fidia kutoka kwa serikali. Walipokuwa wakiadhimisha kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu k..