Back to homeWatch Original
Viongozi wa upinzani waitaka serikali kudumisha amani nchini
video
July 22, 2025
about 16 hours ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Baadhi ya viongozi wa upinzani na wakaazi wa Kajiado wametoa wito kwa serikali kuhakikisha kuwa kuna uongozi bora, unaozingatia uwajibikaji, usawa, na maslahi ya wananchi..