Back to homeWatch Original
Msafara wa miaka 18 ya M-PESA watua Meru kwa sherehe na zawadi
video
July 24, 2025
1 day ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Msafara wa MPESA Sokoni umeingia Kaunti ya Meru kwa kishindo, huku maadhimisho ya miaka 18 ya huduma za MPESA nchini yakizidi kushika kasi. Kampuni ya Safaricom inaendeleza uhamasishaji kuhusu namna ya kutumia simu ya rununu kama chombo cha kujiimarisha kiuchumi. Msafara huu una..