Back to homeWatch Original
Hali Tete Mandera: Hofu ya wapiganaji wa Jubaland yazuka
video
September 3, 2025
2h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
About this video
Hali ya wasiwasi inaendelea kushuhudiwa mandera huku mapigano kati ya maafisa wa jubaland na wale wa serikali ya somalia yakiendelea kushuhudiwa. Vita hivyo vimesambaa hadi kaunti ya mandera na kusababisha hali ya wasiwasi. Na sasa huenda mapigano hayo yakaathiri shughuli za maso..