Back to home

Kifo cha Polisi Haiti: Familia yamwomba serikali usaidizi wa mazishi

video
September 3, 2025
2h ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Familia ya afisa wa polisi kennedy mutuku nzuve aliyefariki nchini haiti inairai serikali kuwasaidia kuufikisha mwili wake nchini na kufanikisha mipango ya mazishi. Mamake mutuku, serah ndunge, anasema kifo cha mwanawe wa pekee ni pigo kubwa kwani alikuwa na matarajio ya kumwona ..