Back to home
TIFA: Wakenya walia hali ya uchumi
video
C
Citizen TV (Youtube)September 11, 2025
2h ago
Utafiti wa kampuni ya TIFA unaonyesha kuwa wakenya wengi wanahofia kuwa taifa haliendeshwi vema. Utafiti huo uliofanywa kati ya tarehe 23 Agosti na tarehe 3 Septemba mwaka huu, unaashiria kuwa wakenya hawajaridhishwa na uongozi wa taifa huku hali ya uchumi na gharama ya juu ya M