Back to home

Mazungumzo Mapya ya amani Sudan yaaanza Nairobi

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 11, 2025
2h ago
Mashirika ya Koffi Annan Foundation, Amina Live, na Magharib Centre yameanzisha upya mchakato wa kuleta mazungumzo kati ya pande zinazopigana nchini Sudan, kwa kuwaleta pamoja Generali Abdel Fattah al-Burhan na Generali Mohamed Hamdan Hemedti wa RSF