Back to home

Waathiriwa wa mafuriko wamepata afueni ya kupewa makaazi mapya ya kudumu

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 24, 2025
2w ago
Waathiriwa wa mafuriko katika kaunti ya Tana River wanakila sababu ya kutabasamu baada ya ujenzi wa makaazi yao ya kudumu kukamilika.