Back to home

Familia na wakazi katika kaunti ya Trans Nzoia wanadai majibu kuhusu kifo cha mwana wao aliyefariki

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 24, 2025
2h ago
Familia na wakazi katika kaunti ya Trans Nzoia wanadai majibu baada ya kubainika kuwa kijana mmoja aliyekuwa akizuiliwa katika gereza la Kitale alifariki kutokana na damu kuganda.