Back to home

Samburu kuandaa mashindano ya kimataifa ya ngamia

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 26, 2025
3h ago
Makala ya Thelathini mbili ya mashindano ya kimataifa ya ngamia yamezinduliwa rasmi kaunti ya samburu na waziri wa utalii rebecca miano na kuwavutia washirika wa kimataifa pamoja na wenyeji. Ni hafla iliyosheheni mbwembwe za aina yake, ikitoa nafasi kwa washirika wa humu nchini k