Back to home

Usajili wa wapiga kura Kajiado

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 30, 2025
2h ago
Huku tume huru ya uchaguzi na mipaka ikianza rasmi zoezi la kuwasajili wapiga kura wapya million 6.3 kote nchini, vijana wamehimizwa kutumia fursa hiyo kujisajili kama wapiga kura ili wawe na sauti kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2027.