Back to home
Upasuaji wa kipekee wafanyika katika hospitali ya Machakos level 5
video
C
Citizen TV (Youtube)September 30, 2025
2h ago
Hospitali ya Machakos level 5 imeingia kwenye madaftari ya kumbukumbu kwa kufaulu kufanya upasuaji wa mishipa ya damu iliyofura na kupindapinda inayoitwa kwa kiingereza vericose veins kupitia teknolojia mpya. Madaktari wataalamu wa upasuaji walitumia mbinu ya miale ya kuyeyusha k