Back to home
Wanafunzi wa Ololaimutia wahamasishwa kuhusu mazingira
video
C
Citizen TV (Youtube)October 1, 2025
1h ago
Kama njia moja ya kimarisha mipango ya serikali kupanda miti bilioni kumi na tano ifikapo mwaka 2032 wanafunzi wa shule ya msingi ya ololaimutia kaunti ya narok magharibi wamehamasishwa kuhusu umuhimu wa kuhifadhi mazingira.