Back to home

Kina mama wajawazito wamehimizwa kukumbatia lishe bora kaunti ya Nyandarua

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 1, 2025
2h ago
Kina mama wajawazito katika Kaunti ya Nyandarua wamehimizwa kukumbatia lishe bora ili kuimarisha maisha yenye afya.Maafisa na wataalumu wa afya wanasema kuwa chaKula bora kinahusisha kula chakula chenye vitamini, na madini, maji mengi na pia Kuhimiza kina mama wajawazito kujihusi