Back to home

Serikali ya kaunti ya Kitui yalenga kufungua zahanati zaidi ya 30

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 1, 2025
2h ago
Serikali ya kaunti ya Kitui imeanzisha zoezi la kuendelea kuongeza idadi ya zahanati katika kila Kijiji ili wanainchi wapate huduma za matibabu karibu nao.