Back to home

Kamanda wa polisi Papita Ranka asema kuwa zoezi la uajiri wa polisi litakuwa huru

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 1, 2025
2h ago
Kamanda wa Polisi wa eneo la Kaskazini Mashariki, Papita Ranka, amewahakikishia wakazi wa eneo hilo kuwa mchakato wa uajiri wa polisi unaotarajiwa kuanza hivi karibuni utakuwa huru na wa haki.