Back to home

Mkataba wa AGOA wakamilika, kampuni za nguo zaachwa njia panda

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 1, 2025
2h ago
Kwa muda wa miaka 25, sekta ya nguo ilifurahia matunda ya mkataba wa ukuzaji wa biashara Afrika wa AGOA kwa ushirikiano na serikali ya Marekani. Hata hivyo, kampuni zilizofaidi mkataba huu sasa zimewachwa njiapanda baada ya mkataba huu kufikia kikomo hapo jana