Back to home
Usajili wa makurutu wa polisi
video
C
Citizen TV (Youtube)October 2, 2025
2h ago
Idara ya Huduma ya Polisi inatarajia kuanza zoezi la kuajiri maafisa wa polisi Ijumaa tarehe 3O Oktoba, ikilenga askari wapya 10,000 kote nchini. Kulingana na Inspekta Jenerali wa polisi Douglas Kanja, uzinduzi huo pia utaashiria mwanzo wa mchakato wa uajiri wa siku tano ambao kw