Back to home

Mahakama yasitisha zoezi la usajili wa polisi Kenya

video
K
KTN News (Youtube)
October 2, 2025
4h ago
Idara ya huduma kwa polisi imeahirisha shughuli ya kuwasajili makurutu wa polisi, iliyoratibiwa kuanza hapo kesho. Hii ni baada ya Mahakama Kuu kusitisha shughuli hiyo. Akizungumza katika hafla ya jukwaa la usalama jijini Nairobi, Waziri wa Usalama Kipchumba Murkomen amerai mahak