Back to home

Mahakama yasitisha usajili wa polisi wapya kufuatia kesi iliyowasilishwa na Harun Mwau

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 2, 2025
4h ago
Mahakama imepiga breki zoezi la usajili wa maafisa wapya wa Polisi iliyofaa kufanyika ijumaa kote nchini. Uamuzi huu umefuatia kesi iliyowasilishwa na mfanyabiashara Harun Mwau kuhusu jukumu la tume ya huduma za polisi katika zoezi hili. Hata hivyo, Waziri wa Usalama Kipchumba Mu