Back to home
Wahadhiri, serikali wapimana nguvu
video
C
Citizen TV (Youtube)October 3, 2025
2h ago
Mgomo wa wahadhiri unaendelea kutokota, huku wizara ya elimu na wahadhiri wa vyuo vikuu wakiendelea kukwaruzana kuhusu malipo. Wizara inasisitiza kuwa serikali inadaiwa tu shilingi milioni 624 kutoka makubaliano ya 2017–2021. Wahadhiri nao wakisema wanadai serikali shilingi bil