Back to home

Gavana wa Trans Nzoia amezea mate tikiti ya urais ya upinzani

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 13, 2025
2h ago
Gavana wa Kaunti ya Trans Nzoia George Natembeya amedokeza kuwa atakuwa miongoni mwa wanasiasa wanaomezea mate tikiti ya urais kupitia muungano wa upinzani katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2027.