Back to home

Tamaduni potovu zaendelea kuwaathiri watu wenye ulemavu

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 23, 2025
2w ago
Wanaoishi na ulemavu katika sehemu za mashinani wanakabiliwa na changamoto ya kutengwa katika jamii kutokana na mila na tamaduni potovu zinazoashiria kuwa ulemavu ni laana ama uchawi. Wengi wanaoathirika wanafichwa nyumbani, hali ambayo inawakosesha kusoma au kujumuika na jamii k