Back to home

Wakimbizi walaumiwa kwa kuharibu mazingira Garissa

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 7, 2025
2h ago
Kufuatia uhabirifu mkubwa wa mazingira pamoja na uwindaji haramu unaofanywa na wakimbizi eneo la Dadaab kaunti ya Garissa, wadau katika idara hiyo wamependekeza njia kadhaa za kukomesha vitendo hivyo.