Back to home

Wakazi wa Magarini kaunti ya Kilifi waandamana kukashifu matamshi ya kuwagawanya kikabila

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 23, 2025
6d ago
Wakazi wa Magarini kaunti ya Kilifi wameandamana wakikashifu viongozi ambao wanaeneza matamshi ya ukabila kwa nia ya kuigawanya jamii ya eneo hilo