Back to home

Wakazi wa Sagana, Kagio na Wang’uru kupata manispaa katika kaunti ya Kirinyaga

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 22, 2025
5h ago
Wakazi wa Sagana, Kagio na Wang’uru wameunga mkono pendekezo la Serikali ya Kaunti ya Kirinyaga kubuni manispaa mbili mpya, hatua inayolenga kuimarisha mipango ya miji na kufungua fursa za ufadhili kutoka Serikali Kuu na washirika wa maendeleo.