Back to home

Kampeni za kiti cha ubunge cha Malava zashika kasi

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 29, 2025
1w ago
Huku kampeni za kiti cha eneo bunge la Malava zinaposhika kasi, Gavana wa Kaunti ya Transzoia George Natembeya amesema kura ya uchaguzi huo mdogo ni ya kukomboa jamii ya Mulembe kutoka kwa umaskini na siasa mbaya.