Back to home
Gavana wa Kwale Fatuma Achani asema wanyakuzi wa ardhi hawatashinda
video
C
Citizen TV (Youtube)October 29, 2025
5d ago
Gavana wa Kwale Fatuma Achani amewahakikishia wakaazi wanaoishi katika ardhi yenye mzozo ya Mwereni yenye zaidi ya ekari laki moja kuwa ardhi hiyo itagawanyiwa wakaazii takribani elfu 15 walioishi katika ardhi hiyo tangu jadi





