Back to home
Watu wawili wamefariki baada ya kubugia pombe ya sumu Meru
video
C
Citizen TV (Youtube)November 6, 2025
2h ago
Watu wawili wamefariki, huku wengine watano wakiwa katika hali mahututi hospitalini baada ya kunywa pombe haramu inayokisiwa kuwa na sumu katika Kijiji cha Ngitana, Igembe Kaskazini kaunti ya Meru.





