Back to home

Kaunti ya Kwale itakuwa mwenyeji wa mashindano ya Road Cycling African Championship

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 13, 2025
1h ago
Kaunti ya Kwale itakuwa mwenyeji wa mashindano ya uendeshaji baisikeli ya afrika ya "Cac Road Cycling African Championship" yatakayofanyika kwa siku tatu kuanzia tarehe 19 hadi 23 katika miji ya Diani na Kwale.