Back to home

Kampuni ya Naivas imetangaza ushirikiano na Uber Eats

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 13, 2025
1h ago
Kampuni ya Naivas imetangaza ushirikiano na Uber Eats utakaowawezesha wateja kununua bidhaa na mahitaji ya kila siku kwa urahisi kupitia programu ya Uber Eats.