Back to home

Wataalamu wa teknolojia waitaka serikali kukumbatia akiliunde (AI)

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 17, 2025
4h ago
Wataalamu wa masuala ya teknolojia nchini sasa wanaitaka serikali kuwawezesha wabunifu katika sekta hiyo kukumbatia mifumo ya akiliunde.