Back to home
Wito wa mazungumzo miongoni mwa viongozi wa chama cha ODM
video
C
Citizen TV (Youtube)November 18, 2025
2h ago
Baadhi ya wanasiasa wa chama cha ODM kutoka kaunti ya Garissa wamewahimiza viongozi wakuu wa chama hicho kuwahusisha wenzao wenye maoni tofauti ili kuepuka mpasuko unaokodolea macho chama hicho




