Back to home
Mahakama yatupilia mbali mpango wa serikali wa malipo mpango wa malipo ya kahawa wa DSS
video
C
Citizen TV (Youtube)November 18, 2025
1h ago
Ni afueni kwa wakulima wa Kahawa kote nchini baada ya mahakama kuu ya Kerugoya kutupilia mpango wa malipo ya kahawa wa DSS uliopendekezwa Na serikali. Katika uamuzi wake Jaji Edward Muriithi ameelezea kuwa taasisi za serikali zilikosa kuhusisha wakulima wakati wa kuweka Sheria hi





