Back to home
Baadhi ya viongozi katika chama cha ODM wasema katiba haikufuatwa sawa kuapisha viongozi
video
C
Citizen TV (Youtube)November 18, 2025
2h ago
Mpasuko ndani ya chama cha ODM umeendelea hata baada ya mkutano wa Mombasa uliofaa kuziba nyufa ndani ya chama hicho. Baadhi ya viongozi wa chama hicho sasa wanasema katiba ya chama haikufuatwa kuwaapishwa viongozi wapya wa chama huko Mombasa, kabla ya kongamano la kitaifa la waj




