Back to home

Juhudi za kuwasajili vijana kupiga kura zahimizwa Migori

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 18, 2025
1h ago
Tume ya uchaguzi na mipaka IEBC kwa ushirikiano na wakfu wa Raymond Omollo imeanzisha mchakato wa kusajili vijana katika kama wapiga kura katika vitongoji na vijiji vya Migori.