Back to home

Asilimia 50 ya wakazi katika kaunti ya Migori wamepokea dawa ya ugonjwa wa Kichocho

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 18, 2025
1h ago
Takriban asilimia 50 ya watu waliolengwa wamepokea Dawa ya ugonjwa wa Kichocho katika Kaunti ya Migori.Wadau wanalenga angalau asilimia 75 ya watu katika kaunti hiyo kupokea dawa hiyo muhimu kufikia mwishoni mwa mwezi huu.