Back to home
Serikali ya kaunti ya Nyamira yazindua mpango wa mafunzo ya walemavu
video
C
Citizen TV (Youtube)November 19, 2025
4h ago
Serikali ya kaunti ya Nyamira kwa ushirikiano na mashirika yasiyo ya serikali zimezindua mpango wa mafunzo kwa walemavu, ili kuwawezesha kupata ajira ama kuanzisha biashara na kujiajiri wenyewe.





