Back to home

Taasisi za fedha zahimizwa kunufaisha jamii ya waislamu Garissa

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 19, 2025
4h ago
Gavana wa Garissa Nathif Jama amehimiza taasisi za fedha katika kaunti hiyo kubuni huduma zinazoambatana na maadili ya dini ya kislamu ili kunufaisha asilimia kubwa ni waislamu.