Back to home

Walimu walalamikia kutopewa kandarasi za kudumu shuleni Kajiado

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 19, 2025
4h ago
Walimu wa shule za sekondari msingi katika kaunti ya Kajiado wamejiunga na wenzao kote nchini kutoa shinikizo kwa serikali kuwapa ajira ya kudumu pamoja na kupewa mishahara ya juu. Walimu hao ambao wanasema watalazimika kuendeleza misururu ya maandamnano mwakani wameapa kutorejea