Back to home
Ugonjwa wa Ngovi wasambaa miongoni mwa mifugo Nandi
video
C
Citizen TV (Youtube)November 19, 2025
3h ago
Idara ya Kilimo katika Kaunti ya Nandi imeweka karantini kufuatia kuenea kwa ugonjwa wa ngozi unaofahamika kama Lumpy Skin Disease katika maeneo mbalimbali ya kaunti hiyo.









